Kwaheri Ukoloni, Kwaheri Uhuru!

Icon

Zanzibar na Mapinduzi ya Afrabia

Mwandishi

Harith Ghassany ni Muafrabia kindakindaki aliyezaliwa na wazazi wa Kiarabu na mabibi wa Kiafrika kuumeni kwake kutoka kabila la Kimanyema na la Kimwera. Amekhitimu kutoka chuo cha Msikiti Baraza na Skuli ya Tumekuja (Mtakatifu Yusuf) Zanzibar, na Shule ya Popatlal, Tanga. Alitunukiwa shahada yake ya kwanza kwa daraja ya “heshima” katika masomo ya Mashariki ya Kati kutoka Chuo Kikuu cha Kimarekani, jijini Cairo – Misri. Pia alitunukiwa shahada ya Masters mwaka 1988 kutoka Chuo Kikuu cha Kimarekani cha Michigan katika masomo ya Afrika ya Kaskazini na Mashariki ya Karibu, na shahada ya Masters ya pili kutoka Chuo Kikuu cha Harvard cha Marekani, na kumaliziya na shahada ya Udaktari wa Falsafa pia kutoka Chuo Kikuu cha Harvard katika masomo ya Ilimu ya Binaadamu (Anthropology) na ya Mashariki ya Kati. Harith Ghassany ni msomi/mtafiti huru na anaishi Marekani, Washington DC.

Advertisements

One Response

 1. Khamis seif says:

  assallaam alaikum
  Tunashukuru sana kwakuona kitabuchako,
  tulichokua tunaomba kutoka kwako ni ikiwa tunataka kununua copy ya kitabu hiki tutawezaje kukipata .
  Sisi tunaishi uingereza(England) na sio marekani.
  ahsante

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: